Posts

New Music Audio | Diamond Platnumz - Nasema Nawee

Image
Star Wa Music Wa Bongo Flavour Tanzania, "Nassib Abdul, a.k.a ' Diamond Platnumz . Baada Ya Kuachia Bonus Track Ya Nyimbo Inayojulikana Kama ' Ntampata wapi , Siku Chache Zilizopita Na Kufanya Vizuri Ndani Na Nje Ya Nchi, Sasa Leo Hii Ameachia Nyimbo Yake Mpya Yenye Mahadhi Ya Taarabu, Nyimbo Hiyo Inakwenda Kwa Jina La " Nasema Nawe " Karibu Udownload Na Pia Usisahau Ku'Share Na Rafiki Zako.

New Music Video | Nazizi - Over You

Image
Tazama Video Mpya Kutoka Kwa Msanii NAZIZI Wa Nchini Kenya, Nyimbo Inaitwa OVER YOU. Audio Imetengenezwa Na Producer SAPPY Wa LOVECHILD RECORDS , Na Video Imefanywa Na CREAM VISION FILMS , Karibu Uitazame

New Music Video | Wiz Khalifa - Raw

Image
Rapper Wiz Khalifa Ameachia Video Yake Mpya Ya Wimbo Unaoitwa "RAW, Wimbo Huo Umetoka Kwenye Album Yake Mpya Inayokwenda Kwa Jina La " Blacc Hollywood , Video Hiyo Imetengenezwa Na Director " Alexi Papalexopoulous & Gerard Victor "   Na Audio Imetengenezwa Na " Sledgren and RMB Justize " Karibu Na Uitazame Hapa

Download New Music Audio | Makomando - Vigelegele

Image
Ni Ujio Mpya Mwingine Wa Wasanii Wanaounda Kundi La  "Makomando , Na Yimbo Yao Inayoitwa "Vigelegele, Download

NEW MUSIC | CHEGE & TEMBA FEAT DJ MAPHOLISA - KAUNYAKA

Image
Download Nyimbo Mpya Kutoka Kwa "Chege na Temba, Waliyomshirikisha Msanii "Dj Mapholisa, Wa South Africa Kutoka Katika Kundi La 'Uhuru, Nyimbo Inaitwa "Kaunyaka.

DOWNLOAD NEW MUSIC | MAUA SAMA & GRACE MATATA - HELLO

Image
Ni Collaborations Ya Wasanii Hawa Wawili "Maua Sana & Grace Matata" Nyimbo Hii Inayoitwa HELLO Imeandiwa Na Wasanii Hawa Na Imetengenezwa Na Kufanyimwa Mixing Na Producer " Ema The Boy " Wa Classic Sound Studio Na Pia Kufanyiwa Mastering Na WILL HD .

NEW MUSIC | NOIZ ARACHUGA, BEN POL, JAY Z - TWAENDANA, DOWNLOAD

Image