New Music Audio | Diamond Platnumz - Nasema Nawee


Star Wa Music Wa Bongo Flavour Tanzania, "Nassib Abdul, a.k.a 'Diamond Platnumz. Baada Ya Kuachia Bonus Track Ya Nyimbo Inayojulikana Kama 'Ntampata wapi, Siku Chache Zilizopita Na Kufanya Vizuri Ndani Na Nje Ya Nchi, Sasa Leo Hii Ameachia Nyimbo Yake Mpya Yenye Mahadhi Ya Taarabu, Nyimbo Hiyo Inakwenda Kwa Jina La "Nasema Nawe" Karibu Udownload Na Pia Usisahau Ku'Share Na Rafiki Zako.

Popular Posts