Kwa Muda Mrefu Sasa Imekuwa Ikisubiriwa Kwa Hamu Kubwa Ile Collabo Kubwa Ya Wasanii Wakubwa East Africa, Nikiwazungumzia ' SAUTI SOL (Kutoka Kenya) & ALIKIBA (Kutoka Tanzania) Wakali Hao Wa Kenya Wamefanya Wimbo Unayokwenda Kwa Jina La " UNCONDITIONALLY BAE " Wimbo Huo Wamemshirikisha Msanii ALIKIBA . (Karibu Utazame Video Hiyo Hapa Chini) (Pia Unaweza Kudownload Audio Hapa Chini)
Yamoto Band Wameacha Video Yao Nyingine Mpya Inayokwenda Kwa Jina La "Mama, Wakiwa Wamemshirikisha Msanii 'Zena, Video Hii Imeongozwa Na Director 'Pablo. Karibu Uitazame Hapa.
Kama Ulishasikia Kuwa Chris Brown Na Tyga Ni Marafiki Sana Tofauti Na Kazi Na Wameamua Kufanya Project Ya Pamoja Ya Kuachia Album Kwa Mashabiki Wao, Basi Hii Ndio Ile Video Yao