New Video | Chris Brown, & Tyga - Ayo (Explicit)

Kama Ulishasikia Kuwa Chris Brown Na Tyga Ni Marafiki Sana Tofauti Na Kazi Na Wameamua Kufanya Project Ya Pamoja Ya Kuachia Album Kwa Mashabiki Wao, Basi Hii Ndio Ile Video Yao
Mpya Ya Moja Kati Ya Kazi ZaoWanazoendelea Kufanya, Video Inaitwa AYO,Karibu Uitazame Hapa

Popular Posts