Posts

Showing posts from January 6, 2015

NEW MUSIC VIDEO | FUTURE - MAD LUV

Image
Tazama Video Mpya Kutoka Kwa Msanii "FUTURE Inayoitwa "MAD LUV , Wimbo Huo Unapatikana Katika Mixtape Yake Mpya Inayoitwa MONSTER, Itazame Hapa

DOWNLOAD NEW MUSIC AUDIO | WIZKID - OJUELEGBA

Image
Nyimbo Mpya Kutoka Kwa Star Wa Music Wa Nigeria " WIZKID Wimbo Huo Unaokwenda Kwa Jina La " OJUELEGBA Ni Wimbo Wake Wa 5 Kutoka Katika Album Yake Ya "AYO Download Hapa

Tazama Video Mpya Kutoka Kwa WIZKID - OJUELEGBA

Image
Ikiwa Ni Siku Chache Tangu Mwaka 2015 Kuingia Star Wa Muziki Kutoka Nchini Nigeria "WIZKID Amekuwa Wakwanza Nchini Humo Kwa Kuachia Video Yake Mpya Katika Mwaka Huu Ya Wimbo Unaoenda Kwa Jina La OJUELEGBA, Video Hiyo Imetengenezwa Na Director "Clarence Peters"  Itazame Hapa Na Uache Maoni Yako Juu Ya Video Hii.