Posts

Showing posts from December 18, 2014

Download | Angel Benard - Linda Moyo Wako, (Gospel Song)

Image
Download Nyimbo Mpya Ya Injili { Gospel Song} Kutoka Kwa Msanii ANGEL BENARD  Inayoitwa "Linda Moyo Wako, Pia Unaweza Kusoma Mashahiri  ( lyrics) Ya Wimbo Huo Hapo Chini. LYRICS VERSE 1 Cheko la uso halitoshi, eleza ya moyoni, tabasamu ni mwamvuli, kuficha yaliyo ndani, usipomjua, wa siri kumuambia, tulizana kimya, tabu utajiepushia, usipomjua, wa siri kumuambia, tulizana kimya, shida utajiepushia, cheko la uso halitoshi, eleza ya moyoni. CHORUS linda sana moyo wako..oh oh (linda sana moyo wakoooo)*4 VERSE 2 uwe mwepesi kusikia na wala si kusema, mmmhh.., hata kichaa akikaa kimya huonekana wa maaanaa,oooh yeah.. kwanza jijue we ni nani, na unakwenda wapi, kisha tazama maishani, umezungukwa na nani,*2, uwe mwepesi kusikia na wala si kuseeemaaa... CHORUS Adlib za chorus ya kwanza: si kila achekae akupendaaa,si kila achekae akuwazia mema.. Za chorus ya pili: usipoteze muda kwenye mambo yasiyo maana, usip

Download Nyimbo Mpya Ya 'Shilole - Malele,

Image
Huu Ni Ujio Mwingine Wa Msanii SHILOLE  Amekuletea Nyimbo Mpya Wewe Shabiki Yake, Inayokwenda Kwa Jina La MALELE"  Download Hapa

Hawa Ndio Wasanii 10 Wa Hiphop Wanaoongoza Kwa Utajiri Duniani Mwaka 2014

Image
Kabla Mwaka 2014 Haujaisha Napenda Kukujuza Wasanii 10 Wa Music Wa Hiphop Wanaoongoza Kwa Utajiri Duniani ( Top Richest Rappers In The World) Na Viwango Vya Fedha Wanazomiliki,