Download | Angel Benard - Linda Moyo Wako, (Gospel Song)

Download Nyimbo Mpya Ya Injili {Gospel Song} Kutoka Kwa Msanii ANGEL BENARD  Inayoitwa "Linda Moyo Wako,
Pia Unaweza Kusoma Mashahiri  (lyrics) Ya Wimbo Huo
Hapo Chini.
LYRICS


VERSE 1

Cheko la uso halitoshi, eleza ya moyoni,

tabasamu ni mwamvuli, kuficha yaliyo ndani,

usipomjua, wa siri kumuambia, tulizana

kimya, tabu utajiepushia, usipomjua, wa siri kumuambia,

tulizana kimya, shida utajiepushia,

cheko la uso halitoshi, eleza ya moyoni.CHORUS

linda sana moyo wako..oh oh

(linda sana moyo wakoooo)*4VERSE 2

uwe mwepesi kusikia na wala si kusema, mmmhh..,

hata kichaa akikaa kimya huonekana wa maaanaa,oooh

yeah.. kwanza jijue we ni nani,

na unakwenda wapi,

kisha tazama maishani,

umezungukwa na nani,*2,

uwe mwepesi kusikia na wala si kuseeemaaa...CHORUS

Adlib za chorus ya kwanza:

si kila achekae akupendaaa,si kila achekae akuwazia mema..

Za chorus ya pili:

usipoteze muda kwenye mambo yasiyo maana,

usipoteze muda kwenye vikao visivyo maanaa...uuuh

Popular Posts