Posts

Showing posts from December 24, 2014

Video Ya Bracket Waliowashirikisha Diamond Platnumz Na Tiwa Savage Iko Hapa

Image
Tazama Video Hii Kutoka Kwa "BRACKET" Inayoitwa ALIVE Waliowashirikisha DIAMOND PLATNUMZ & TIWA SAVAGE

New Video | D,Banj - Feeling The Nigga ( OFFICIAL VIDEO )

Image
Tazama Video Mpya Kutoka Kwa Mkali "D BANJ" Wa Nigeria Inayoitwa "FEELING THE NIGGA, Imeongozwa Na Director  Mazi C.I.JIZZE.   Iko Hapa...

New Video | Wizkid - Wonder, Itazame Hapa

Image
Mkali Kutoka Nigeria "WIZKID" Au Unaweza Kumuita ( StarBoy) Ameachia Video Yake Mpya Inayokwenda Kwa Jina La WONDER,  Kwa Wale Wapenzi Wa Music Wa West Africa Huu Ni Wakati Wenu Wa Kuitazama Video Hiyo Mpya Ya Nguli Huyo Itazame Hapa.

Tazama Video Mpya Ya "Tunda Man - Mapenzi Yale Yale, Iko Hapa

Image
Msanii Kutoka Katika  Kundi La (Tip Top Connection) 'TUNDA MAN' Ameachia Video Yake Mpya Ikiwa Ni Ya Nyimbo Aliyoutoa Hivi Karibuni Unayoitwa 'MAPENZI YALE YALE, Na Hii Ndio Video Yake, Itazame Hapa

Wimbo Mpya Wa Alikiba "Hela" Umevuja" Upo Hapa.

Image
Wimbo Wa Msanii Wa Music Wa Kizazi Kipya, (Bongo Flavour) "ALIKIBA" Unaoitwa HELA Umevuja Mitandaoni Kabla Hajautoa Official. Unaweza Kuusikiliza Hapa