Posts

Showing posts with the label Music

Dj Prince Amewaletea Hii Mix Nyingine, Ni Old Bongo Flava (Vol 1)

Image
Muda Na Nyakati Zinasonga Huku Tukiona Wanamuziki Mbali Mbali Wakizidi Kujitokeza Na Kufanya Muziki Mzuri Wa Kizazi Kipya, Wakati Huo Huo Tunazidi Kuwaona Wanamuziki Wa Muda Mrefu (Wakongwe) Wakirudi Tena Kwenye Industry Ya Muziki Wa Bongo Na Kufanya Vizuri Pia Na Wengineo Kutofanya Vizuri, Lakini Pia Tunaukumbuka Mchango Wao Wa Muziki Wa Tanzania, Ambao Umefanya Njia Iwe Nyepesi Kwa Wanamuziki Wa Kizazi Kipya, Hivyo Mchango Wao Utazidi Kukumbukwa Siku Hadi Siku, Tutazidi Kuwathamini Na Kusikiliza Kazi Zao Kwani Zinatukumbusha Mbali Kwa Wale Wingi Tuliokuwa Tunasikiliza Kazi Zao, Hivyo Basi Kutokana Na Mchango Wao Sio Mbaya Tukizikumbuka Baadhi Ya Nyimbo Zao Zilizotamba Kipindi Hicho, Natumai Utakuwa Na Wakati Mzuri Baada Ya Kusikiliza MIX Hii Kutoka Kwa DJ PRINCE. Kabla Ya Kusikiliza Mix Hii Ni Vyema Tukawaombea Wale Wanamuziki Wote Waliotangulia Mbele Za Haki, Mungu Awarehemu Na Awape Pepo Ya Milele, #Albert Mangwair #Mr Ebbo #Geez Mabovu #Mez B. #sharo Millionea Na Wal...

DOWNLOAD: HipHop Music Mix 2016 (Vol 01) - Dj Prince

Image
To All Music Lovers Hii Nyingine Kwaajili Yenu Kutoka Kwa  Dj Prince.

New Music: Raymond - Natafuta Kiki ( DOWNLOAD )

Image
Msanii Chipukizi Kutoka WCB Wasafi Na Hit Maker Wa Wimbo Wa KWETU, Unaoendelea Kufanya Vizuri Katika Kila Radio Stations Na TVs Ndani Na Nje Ya Tanzania, ' RAYMOND , Amekuja Na Single Yake Nyingie Inayoitwa ' NATAFUTA KIKI , 

Music: Kwaito Music Mix 2016 (Vol 2) - Dj Prince, DOWNLOAD

Image
I'm Dj Price, This Is My 5th Mix But My 2nd South Africa House Music (Kwaito Mix Vol 02)

Music: Bongo Flava Music Mix 2016 (Vol 01) - Dj Prince

Image
Kwa Wale Wanaopendelea Kusikiliza Mixes Hii Ni Yenu,  Dj Prince   Ametoa Mix Nyingine Ya "Bongo Flava" Yenye Nyimbo Kali 40. Kuwa Wa Kwanza Kupakua Mix Hiyo Hapa,  Usisahau Ku-Share Na Wana.

DOWNLOAD: Kwaito Music Mix 2016 Vol 01 By Dj Prince

Image
Download Mix Mpya Ya KWAITO Kutoka Kwa Dj Prince

Audio & Video: Ben Pol - Moyo Mashine ( Download )

Image
Msanii Wa Music Wa RnB Tanzania 'BEN POL Ameachia Wimbo Na Video Yake Mpya Siku ya Tarehe 12-05-2016, Wimbo Huo

New Music: Alikiba Ft. M.I - Aje (Free Download)

Image
Msanii Mkongwe Wa Music Wa Bongo Flava " ALIKIBA Ameachia Nyimbo Yake Mpya Inayokwenda Kawa Jina La ' AJE . Akiwa Amemshirikisha Msanii ' M.I Kutoka Nigeria. 

Sikiliza Na Download: West Africa Music Mix 2016. Volume 01 (Dj Prince)

Image
Karibu Sikiliza Na Download 'West Africa Music Mix'  By Dj Prince ,

Sikiliza Na Download: New HipHop Mix 2016, (Dj Prince)

Image
Sikiliza Na Download HipHop Mixing Kutoka Kwa "Dj Prince ,   @CrouchPrinceTZ  Songs: 3o Quality: 192 kbps File Size: 87.4 MB Play Time: 64 minutes Download   

Audio & Video: Eddy Kenzo Ft Patoranking - Royal. (Watch & Download)

Image

New Mixtape: Lc The DreamKid - TangaCation (Closer To The Dream) Listen & Download

Image

New Music: Jambo Squad - Digi Digi (Free Download)

Image

New Audio: Ben Pol & Jux - Nakuchana, (Free Download)

Image

Audio: AKA & Diamond Platnumz - Make Me Sing ( Free Download )

Image

New Audio: King Kaka - Rusha. Ft Jay Moe & Navio

Image

Kama Bado Hujapata Wimbo Mpya Wa ALIKIBA - LUPELA, Download Hapa Bure

Image
                                                               DOWNLOAD  

Video: MIYEYO FEAT DAYNA - TULIA (Directed bY KIMAMBA)

Image
V

Kama Bado Hujapata Wimbo Mpya Wa Navy Kenzo - Kamatia. Download hapa bure.

Image

New Audio: P Square - OMG (Free me) Download Hapa

Image