Dj Prince Amewaletea Hii Mix Nyingine, Ni Old Bongo Flava (Vol 1)

Muda Na Nyakati Zinasonga Huku Tukiona Wanamuziki Mbali Mbali Wakizidi Kujitokeza Na Kufanya Muziki Mzuri Wa Kizazi Kipya, Wakati Huo Huo Tunazidi Kuwaona Wanamuziki Wa Muda Mrefu (Wakongwe) Wakirudi Tena Kwenye Industry Ya Muziki Wa Bongo Na Kufanya Vizuri Pia Na Wengineo Kutofanya Vizuri,

Lakini Pia Tunaukumbuka Mchango Wao Wa Muziki Wa Tanzania, Ambao Umefanya Njia Iwe Nyepesi Kwa Wanamuziki Wa Kizazi Kipya,

Hivyo Mchango Wao Utazidi Kukumbukwa Siku Hadi Siku, Tutazidi Kuwathamini Na Kusikiliza Kazi Zao Kwani Zinatukumbusha Mbali Kwa Wale Wingi Tuliokuwa Tunasikiliza Kazi Zao,

Hivyo Basi Kutokana Na Mchango Wao Sio Mbaya Tukizikumbuka Baadhi Ya Nyimbo Zao Zilizotamba Kipindi Hicho, Natumai Utakuwa Na Wakati Mzuri Baada Ya Kusikiliza MIX Hii Kutoka Kwa DJ PRINCE.

Kabla Ya Kusikiliza Mix Hii Ni Vyema Tukawaombea Wale Wanamuziki Wote Waliotangulia Mbele Za Haki, Mungu Awarehemu Na Awape Pepo Ya Milele,

#Albert Mangwair
#Mr Ebbo
#Geez Mabovu
#Mez B.
#sharo Millionea

Na Wale Wengine Wote Ambao Sijaweza Kuwataja Hapa, Mungu Uwalaze Mahali Pema Peponi, AMEN


Bring Back Your Memories For Listening To The OLD BONGO FLAVA MIX (VOL 1) From 
DJ PRINCE

http://music.audiomack.com/tracks/DJ-Prince/old-bongo-flava-mix-vol-1-dj-prince.mp3?Expires=1478790706&Signature=aHgQP1Cb61hRxX1nvH8Fdg1AWLe2-mfZkZax4Z2hzqpJje8hg61hScan8ArrS~QessMlmH3cqb6pbKQDgsE7Fb2rTysPJB20BZ6Ff4xPxhZzXr7aaSoSs56hI8Sr8BosRPNyXvX-cGt7O283RZQ0dtxwxtahTgjpvrJZDcXcKKc_&Key-Pair-Id=APKAIKAIRXBA2H7FXITA

Popular Posts