Posts

Showing posts from January 16, 2015

Sarkodie - Revenge Of The Spartans‬ (Official Music Video)

Image
  Rapper Anayefanya Vizuri Kwenye Muziki Wa HipHop Kutoka Nchini Ghana Ijulikanae Kwa Jina La SARKODIE Ameachia Video Yake Mpya Inayoitwa ' REVENGE OF THE SPARTANS ,  Karibu Na Uitazame Video Hiyo Hapa

Haya Ndio Magari 10 Ya Ghali Zaidi Ya Wachezaji Mpira

Image
Tazama Magari Haya 10 Ya Wacheza Mpira Ambayo Ni Ghali Zaidi 10. Nani [Lamborghini Gailardo LP 550-2]   9. Arda Turan [Mercedes-Benz SLS AMG]   8. Didier Drogba [Mercedes SL65-AMG]   7. Wayne Rooney [Aston Martin Vanquish S]   6. Jermaine Pennant [Chrome Aston Martin DBS]   5. Frank Lampard [Ferrari 458]     4. Obafami Martins [N50M Lamborghini]   3. David Beckham [Rolls Royce Phantom]   2. El Hadji Diouf [Mercedes-Benz SLR Mclaren]   1. Cristiano Ronaldo [LaFerrari 2014 Model]  Hayo Ndio Magari 10 Ya Ghali Yanayotumiwa Na Wachezaji Mpira. usisahau kuacha comment yako hapo pia usisahau ku'like page yetu ya ' TheArushaFinest

Nyimbo Mpya Ya 'Ben Pol - Sophia

Image
Download Nyimbo Mpya Kutoka Kwa Mfalme Wa Muziki Wa R&B Tanzania, Bernald Paul A,k,a ' Ben PoL , Nyimbo Hiyo Inakwenda Kwa Jina La Sophia Na Imefanywa Na Producer Mswaki

Ni Collaboration Ya Rabbit The King Wa Kenya Na Rich Mavoko Wa Tz, February Hii

Image
Kama Uliwahi Kusikia Stori Kuhusu Kolabo Hiyo Ya Rapper Kutoka Nchini Kenya Anayeitwa ' Rabbit The King ,Au Unaweza Kumuita ' King Kaka , Ama Kaka Sungura , Anayomshirikisha Msanii Anayefanya Vizuri Na Wimbo Wake Wa Pacha Wangu , Kutoka Nchini Tanzania ' Rich Mavoko. Wasanii Hao Wameamua Kufanya Kazi Ya Pamoja Ambayo Inatarajiwa Kutoka Mnamo Mwezi Wa Pili Mwaka Huu Nyimbo Hiyo Imepewa Jina La Njoo ,    Hivi Ndivyo Rapper Huyo Alivyoandika Kupitia Ukurasa Wake Wa Twitter: This February King Kaka Ft Rich Mavoko (Tanzania) Bring You 'NJOO' Better Watch Out For This One.   Mashabiki Na Wapenzi Wa Muziki Wa Rabbit Na Rich Mavoko Mkae Tayari Kwa Joint Hiyo.