Posts

Showing posts from December 13, 2014

Download New Music | Yamoto Band - Nitakupwelepweta.

Image
Kama Bado Hujafanikiwa Kupata Nyimbo Mpya Ya " YAMOTO BAND Inayokwenda Kwa Jina La "Nitakupwelepweta' Basi Unaweza Kuidownload Kupitia Hapa

Download Nyimbo 2 Za "Tunda Man, - Achana Na Mimi & Mapenzi Yale Yale.

Image
Ni Ujio Mpya Kabisa Wa Msanii Maarufu Sana Hapa Tanzania Anayekwenda Kwa Jina La TUNDA MAN   Baada Ya Kimya Kisicho Kirefu Sana Ameamua Kukuletea Burudani Mbili Kwa Wakati Mmoja Wewe Shabiki Yake, Nyimbo Hizo Ni

New Music | Roma Feat Staminah, walter Chilambo & Maunda Zorro - Mwanakondoo

Image
Hii Ni Nyimbo Mpya Ya Msanii ROMA Au Unaweza Kumuita ROMA MKATOLIKI Kama Wamjuavyo Wengi, Amekuletea Burudani Ya Kitofauti Ya Yakipekee Kabisa Wewe Shabiki Yake, Nyimbo Hiyo Aliyoipa Jina La MWANAKONDOO Amewashirikisha Wasanii Kadhaa Ikiwemo " STAMINA, WALTER CHILAMBO & MAUNDA ZORRO, Unaweza Kuidownload Hapa >>

New Music Audio | Joh Makini Feat G Nako - xo

Image
Mwanamuziki Wa HipHop "JOH MAKINI, Kutoka Katika Kundi La WEUSI Ameachia Wimbo Wake Mpya Unaokwenda Kwa Jina La XO Ambao Amemshirikisha Msanii Mwenzake G NAKO Kutoka Katika Kundi Hilo Hilo La Weusi, Unaweza Kuidownload Kupitia Hapa