Wiki Iliyopita Kuna Demo Ya Wimbo Ulitoka Na Kusambaa Katika Mitandao Na Kusemekana Ulikuwa Ni Wa Diamond Na P Square Lakini Sivyo, Wimbo Huo Ni Wa IYANYA Ambao Amemshirikisha DIAMOND
Iyanya Amekuja Na Single Yake Hii Nyingine Mpya Aliyomshirikisha Mkali Mwenzake Kutoka Nchini Nigeria Ajulikanaye Kama DON JAZZY , Nyimbo Hiyo Inaitwa Gift Na Imetengenezwa
Rapper Kutoka Nchini Nigeria Inayeitwa " Ice Prince Zamani" , Ameachia Video Yake Mpya Kwa Mwaka 2015, Video Hiyo Inakwenda Kwa Jina La " One Day , Imefanywa Na Director " Moe Musa " Itazame Hapa.
Nyimbo Mpya Kutoka Kwa Star Wa Music Wa Nigeria " WIZKID Wimbo Huo Unaokwenda Kwa Jina La " OJUELEGBA Ni Wimbo Wake Wa 5 Kutoka Katika Album Yake Ya "AYO Download Hapa
Ikiwa Ni Siku Chache Tangu Mwaka 2015 Kuingia Star Wa Muziki Kutoka Nchini Nigeria "WIZKID Amekuwa Wakwanza Nchini Humo Kwa Kuachia Video Yake Mpya Katika Mwaka Huu Ya Wimbo Unaoenda Kwa Jina La OJUELEGBA, Video Hiyo Imetengenezwa Na Director "Clarence Peters" Itazame Hapa Na Uache Maoni Yako Juu Ya Video Hii.