Tazama Video Mpya Kutoka Kwa WIZKID - OJUELEGBA

Ikiwa Ni Siku Chache Tangu Mwaka 2015 Kuingia Star Wa Muziki Kutoka Nchini Nigeria "WIZKID Amekuwa Wakwanza Nchini Humo Kwa Kuachia Video Yake Mpya Katika Mwaka Huu Ya Wimbo Unaoenda Kwa Jina La OJUELEGBA, Video Hiyo Imetengenezwa Na Director "Clarence Peters" 
Itazame Hapa Na Uache Maoni Yako Juu Ya Video Hii.

Popular Posts