Posts

Showing posts from December 17, 2014

Tazama Video Mpya Ya Nicki Minaj - Only, Feat Drake, Lil Wayne & Chris Brown

Image
Baada Ya Kuachia 'Pills n Potions Na Anaconda' Mwanamusic Nicki Minaji Amekuja Na Hii, Inaitwa 'ONLY' Amewasherikisha Wasanii Wenzake "DRAKE, LIL WAYNE & CHRIS BROWN, Itazame Hapa>>

Download | Wizkid - Wonder (Official Music Audio) Naija

Image
Download Wimbo Mpya Wa Msanii WIZKID ( StarBoy ) Wa Nigeria Ama Naija Kama Wajuavyo Wengi, Wimbo Huo Unakwenda Kwa Jina La WONDER,

Chizzy - Valentina ft. Sarkodie (Prod by Pheelz)

Image
Kwa Wale Wapenzi Wa Music Wa Mangharibi, Hii Ni Kwaajili Yenu. Anaitwa " SHIZZY  Akiwa Amemshirikisha Mkali Wa Music Wa HIP HOP Kutoka Ghana " SARKODIE  Nyimbo Inaitwa VALENTINA,

NEW MUSIC AUDIO | PROFESSOR JAY FEAT JOSE CHAMELEONE - KWAAJILI YAKO

Image
Ni Ujio Mwingine Wa Manguli Wa Muziki Wa Afrika Mashariki 'PROFESSOR JAY wa Tanzania Na Mr: JOSE CHAMELEONE Wa Uganda Baada Ya Kipindi Kirefu Cha Kufanya Kazi Iliyokuwa Ikijulikana Kana 'Ndivyo Sivyo' Sasa Wameamua Kufanya Kazi Nyingine Ya Pamoja Ili Kukuletea Burudani Wewe Shabiki Wao,