NEW MUSIC AUDIO | PROFESSOR JAY FEAT JOSE CHAMELEONE - KWAAJILI YAKO


Ni Ujio Mwingine Wa Manguli Wa Muziki Wa Afrika Mashariki 'PROFESSOR JAY wa Tanzania Na Mr: JOSE CHAMELEONE Wa Uganda Baada Ya Kipindi Kirefu Cha Kufanya Kazi Iliyokuwa Ikijulikana Kana 'Ndivyo Sivyo' Sasa Wameamua Kufanya Kazi Nyingine Ya Pamoja Ili Kukuletea Burudani Wewe Shabiki Wao,

Nyimbo Hiyo Inakwenda Kwa Jina La "KWA AJILI YAKO" Imefanyika Katika Studio Ya Mwanalizombe, Ikiwa Ni Studio Ya Nguli Huyo Wa Tanzania Professor Jay,

Popular Posts