Posts

Showing posts from March 11, 2016

New Audio & Video: Sauti Sol Ft Alikiba - Unconditionally Bae

Image
Kwa Muda Mrefu Sasa Imekuwa Ikisubiriwa Kwa Hamu Kubwa Ile Collabo Kubwa  Ya Wasanii Wakubwa East Africa,  Nikiwazungumzia ' SAUTI SOL (Kutoka Kenya) & ALIKIBA (Kutoka Tanzania) Wakali Hao Wa Kenya Wamefanya Wimbo Unayokwenda Kwa Jina La " UNCONDITIONALLY BAE "  Wimbo Huo Wamemshirikisha Msanii ALIKIBA . (Karibu Utazame Video Hiyo Hapa Chini) (Pia Unaweza Kudownload Audio Hapa Chini)