New Audio & Video: Sauti Sol Ft Alikiba - Unconditionally Bae


Kwa Muda Mrefu Sasa Imekuwa Ikisubiriwa Kwa Hamu Kubwa Ile Collabo Kubwa
 Ya Wasanii Wakubwa East Africa, 
Nikiwazungumzia 'SAUTI SOL (Kutoka Kenya) & ALIKIBA (Kutoka Tanzania)
Wakali Hao Wa Kenya Wamefanya Wimbo Unayokwenda Kwa Jina La
"UNCONDITIONALLY BAE
Wimbo Huo Wamemshirikisha Msanii ALIKIBA.
(Karibu Utazame Video Hiyo Hapa Chini)


(Pia Unaweza Kudownload Audio Hapa Chini)

Popular Posts