New Music: Iyanya Feat Diamond Platnumz -- Nakupenda (Official Release)

Wiki Iliyopita Kuna Demo Ya Wimbo Ulitoka Na Kusambaa Katika Mitandao Na Kusemekana Ulikuwa Ni Wa Diamond Na P Square Lakini Sivyo, 
Wimbo Huo Ni Wa IYANYA Ambao Amemshirikisha DIAMOND
Baada Ya Wimbo Huo Kuvuja Iyanya Ameamua Kuuachia Rasmi Na Kuupa Jina La Kiswahili, NAKUPENDA (I Love You)
Nimbo Hiyo Imetengenezwa Na Producer Mr CHIDOO.

Karibu Usikilize Na Udownload Hapa

Popular Posts