Ni Collaboration Ya Rabbit The King Wa Kenya Na Rich Mavoko Wa Tz, February Hii


Kama Uliwahi Kusikia Stori Kuhusu Kolabo Hiyo Ya Rapper Kutoka Nchini Kenya Anayeitwa 'Rabbit The King,Au Unaweza Kumuita 'King Kaka, Ama Kaka Sungura, Anayomshirikisha Msanii Anayefanya Vizuri Na Wimbo Wake Wa Pacha Wangu, Kutoka Nchini Tanzania 'Rich Mavoko.

Wasanii Hao Wameamua Kufanya Kazi Ya Pamoja Ambayo Inatarajiwa Kutoka Mnamo Mwezi Wa Pili Mwaka Huu

Nyimbo Hiyo Imepewa Jina La Njoo

 

Hivi Ndivyo Rapper Huyo Alivyoandika Kupitia Ukurasa Wake Wa Twitter:

This February King Kaka Ft Rich Mavoko (Tanzania) Bring You 'NJOO' Better Watch Out For This One.

 

Mashabiki Na Wapenzi Wa Muziki Wa Rabbit Na Rich Mavoko Mkae Tayari Kwa Joint Hiyo.

Popular Posts