Video Ya Bracket Waliowashirikisha Diamond Platnumz Na Tiwa Savage Iko Hapa

Tazama Video Hii Kutoka Kwa "BRACKET" Inayoitwa ALIVE Waliowashirikisha DIAMOND PLATNUMZ & TIWA SAVAGEMemba wa kundi hilo aitwaye Vast, mwaka 2013 alikuwa akipigania uhai wake baada ya kuugua kansa ya damu ambayo baadae alifanikiwa kupona, ndio sababu ya kundi hilo kuamua kurekodi wimbo huu ‘Alive’ kwaajili ya kumshukuru Mungu kutokana na kumuwezesha msanii huyo kupona.
Kwa Taarifa Zaidi Juu Ya Hilo Unaweza Kusoma Zaidi Kupitia Hapa

Popular Posts