New Music Video | Wiz Khalifa - Raw


Rapper Wiz Khalifa Ameachia Video Yake Mpya Ya Wimbo Unaoitwa "RAW, Wimbo Huo Umetoka Kwenye Album Yake Mpya Inayokwenda Kwa Jina La "Blacc Hollywood, Video Hiyo Imetengenezwa Na Director " Alexi Papalexopoulous & Gerard Victor"  Na Audio Imetengenezwa Na "Sledgren and RMB Justize" Karibu Na Uitazame Hapa

Popular Posts