Posts

Video Ya 'Hawajui' Ya Vanessa Mdee Yaanza kurushwa Channel,O

Image
Mwaka 2014  Umekuwa Ni Mwaka Wa Mafanikio Sana Hasa Kwa Wasanii Wetu Wa Nyumbani Tanzania,  Hii Inatokana Na Juhudi Zao Wenyewe Pamoja Na Mashabiki Zao, Kutengeneza Nyimbo Nzuri Na Video Nzuri Ndio Target Ya Wasanii Wengi, Ila Sio Wote Ambao Hufanikiwa Kufika Mbali Katika Mziki Wao, Ila Tunaamini Siku Moja Nao Watafikia Malengo, Na Kuitangaza Tanzania. VANESSA MDEE Ni Miongoni Mwa Wasanii Hao Wenye Mafanikio Katika Kazi Zao, Hii Ni Taarifa Nzuri Kwake Na Kwa Mashabiki Wa Mziki Wake Nchini Hata Nje Ya Nchi, VIDEO Yake Ya HAWAJUI Imefanikiwa Kuchezwa (Kurushwa) Na Kituo Kikubwa Cha Televisheni Afrika "Channel O,   Kama Hukufanikiwa Kuitazama Video Hiyo Mpya Ya Hawajui Kutoka Kwa Vanessa Mdee Unaweza Kuitazama Hapa.

PICHA: MSANII OMMY DIMPOZ AJINUNULIA GARI MPYA KAMA ZAWADI YA XMASS

Image
Music Wa Bongo Flavour Umeendelea Kuwa Maarufu Ndani Ya Nchi Hata Nje Ya Nchi Na Kupelekea Wasanii Wetu Kupata Show Kubwa Na Kupelekea Mafanikio Kwa Wasanii Hao,

NEW VIDEO | JCB - I DON'T CARE, FEAT BEN POL

Image
Karibu Na Utazame Video Mpya Kutoka Kwa Mkali Wa HipHop JBC Aliyomshirikisha Mkali Wa R&B "BEN POL,  Video Hiyo Inakwenda Kwa Jina "I DON'T CARE Itazame Hapa

DOWNLOAD NEW MUSIC | NUH MZIWANDA - ZIMA TAA.

Image
Nuh Mziwanda ambaye alimvisha pete ya uchumba msanii mwenzake Shilole  Juzi Dec 20, Leo hii amekuletea hii single yake mpya iitwayo "Zima Taa" iliyotayarishwa na  (Young Kizz & Man Water.) Download Hapa.

NEW MUSIC VIDEO | JOH MAKINI - XO, FEAT G NAKO

Image
Ule Muendelezo Wa Kundi La WEUSI Kwa Kutoa Video Zao Tano Bado Unaendelea,  Sasa Ni Zamu Ya Msanii "JOH MAKINI" Kutoa Video Yake Ya "XO" Aliyomshirikisha Msanii Mwenzake "G NAKO'  Kutoka Katika Kundi Hilo Hilo La Weusi, Itazame Hapa.

TAZAMA VIDEO MPYA YA "IZZO BUZNESS - MR XMAS,

Image
Ile Video Mpya Ya  "Mr XMAS'  Kutoka Kwa Msanii  " IZZO BUZNESS  Aliyomshirikisha Msanii "MYRA" Imetoka, Unaweza Kuitazama Hapa.

NEW MUSIC VIDEO | YESU NA WANAWE - NISEME "Remix,

Image