PICHA: MSANII OMMY DIMPOZ AJINUNULIA GARI MPYA KAMA ZAWADI YA XMASS

Music Wa Bongo Flavour Umeendelea Kuwa Maarufu Ndani Ya Nchi Hata Nje Ya Nchi Na Kupelekea Wasanii Wetu Kupata Show Kubwa Na Kupelekea Mafanikio Kwa Wasanii Hao,


Msanii "OMMY DIMPOZ" Ni Miongoni Mwa Wasanii  Hao Maarufu Sana Na Wenye Mafanikio Makubwa Kupitia Music Wao,
Msanii Huyo Amejinunulia Gari Aina Ya TOYOTA PRADO Mpya Ikiwa Na Kama Zawadi Yake Ya X-MASS
Baada Ya Ommy Kununua Gari Hilo Aliandika Ujumbe Huu Kwenye Instagram Yake
(Christmass Present For My Self. Thanks Allah For Everything..
Tukutane January Inshaallah... for Big Suprise,)

Popular Posts