Video Ya 'Hawajui' Ya Vanessa Mdee Yaanza kurushwa Channel,O

Mwaka 2014  Umekuwa Ni Mwaka Wa Mafanikio Sana Hasa Kwa Wasanii Wetu Wa Nyumbani Tanzania,
 Hii Inatokana Na Juhudi Zao Wenyewe Pamoja Na Mashabiki Zao, Kutengeneza Nyimbo Nzuri Na Video Nzuri Ndio Target Ya Wasanii Wengi, Ila Sio Wote Ambao Hufanikiwa Kufika Mbali Katika Mziki Wao, Ila Tunaamini Siku Moja Nao Watafikia Malengo, Na Kuitangaza Tanzania.

VANESSA MDEE Ni Miongoni Mwa Wasanii Hao Wenye Mafanikio Katika Kazi Zao, Hii Ni Taarifa Nzuri Kwake Na Kwa Mashabiki Wa Mziki Wake Nchini Hata Nje Ya Nchi,
VIDEO Yake Ya HAWAJUI Imefanikiwa Kuchezwa (Kurushwa) Na Kituo Kikubwa Cha Televisheni Afrika "Channel O,

Kama Hukufanikiwa Kuitazama Video Hiyo Mpya Ya Hawajui Kutoka Kwa Vanessa Mdee Unaweza Kuitazama Hapa.

Popular Posts