Posts

Download | Angel Benard - Linda Moyo Wako, (Gospel Song)

Image
Download Nyimbo Mpya Ya Injili { Gospel Song} Kutoka Kwa Msanii ANGEL BENARD  Inayoitwa "Linda Moyo Wako, Pia Unaweza Kusoma Mashahiri  ( lyrics) Ya Wimbo Huo Hapo Chini. LYRICS VERSE 1 Cheko la uso halitoshi, eleza ya moyoni, tabasamu ni mwamvuli, kuficha yaliyo ndani, usipomjua, wa siri kumuambia, tulizana kimya, tabu utajiepushia, usipomjua, wa siri kumuambia, tulizana kimya, shida utajiepushia, cheko la uso halitoshi, eleza ya moyoni. CHORUS linda sana moyo wako..oh oh (linda sana moyo wakoooo)*4 VERSE 2 uwe mwepesi kusikia na wala si kusema, mmmhh.., hata kichaa akikaa kimya huonekana wa maaanaa,oooh yeah.. kwanza jijue we ni nani, na unakwenda wapi, kisha tazama maishani, umezungukwa na nani,*2, uwe mwepesi kusikia na wala si kuseeemaaa... CHORUS Adlib za chorus ya kwanza: si kila achekae akupendaaa,si kila achekae akuwazia mema.. Za chorus ya pili: usipoteze muda kwenye mambo yasiyo maana, ...

Download Nyimbo Mpya Ya 'Shilole - Malele,

Image
Huu Ni Ujio Mwingine Wa Msanii SHILOLE  Amekuletea Nyimbo Mpya Wewe Shabiki Yake, Inayokwenda Kwa Jina La MALELE"  Download Hapa

Hawa Ndio Wasanii 10 Wa Hiphop Wanaoongoza Kwa Utajiri Duniani Mwaka 2014

Image
Kabla Mwaka 2014 Haujaisha Napenda Kukujuza Wasanii 10 Wa Music Wa Hiphop Wanaoongoza Kwa Utajiri Duniani ( Top Richest Rappers In The World) Na Viwango Vya Fedha Wanazomiliki,

Tazama Video Mpya Ya Nicki Minaj - Only, Feat Drake, Lil Wayne & Chris Brown

Image
Baada Ya Kuachia 'Pills n Potions Na Anaconda' Mwanamusic Nicki Minaji Amekuja Na Hii, Inaitwa 'ONLY' Amewasherikisha Wasanii Wenzake "DRAKE, LIL WAYNE & CHRIS BROWN, Itazame Hapa>>

Download | Wizkid - Wonder (Official Music Audio) Naija

Image
Download Wimbo Mpya Wa Msanii WIZKID ( StarBoy ) Wa Nigeria Ama Naija Kama Wajuavyo Wengi, Wimbo Huo Unakwenda Kwa Jina La WONDER,

Chizzy - Valentina ft. Sarkodie (Prod by Pheelz)

Image
Kwa Wale Wapenzi Wa Music Wa Mangharibi, Hii Ni Kwaajili Yenu. Anaitwa " SHIZZY  Akiwa Amemshirikisha Mkali Wa Music Wa HIP HOP Kutoka Ghana " SARKODIE  Nyimbo Inaitwa VALENTINA,

NEW MUSIC AUDIO | PROFESSOR JAY FEAT JOSE CHAMELEONE - KWAAJILI YAKO

Image
Ni Ujio Mwingine Wa Manguli Wa Muziki Wa Afrika Mashariki 'PROFESSOR JAY wa Tanzania Na Mr: JOSE CHAMELEONE Wa Uganda Baada Ya Kipindi Kirefu Cha Kufanya Kazi Iliyokuwa Ikijulikana Kana 'Ndivyo Sivyo' Sasa Wameamua Kufanya Kazi Nyingine Ya Pamoja Ili Kukuletea Burudani Wewe Shabiki Wao,