Posts

I Edited another Photographer's image Using Frequency Separation and mixer brush in photoshop

Image

How to Create Your Own Frequency Separation Action in Photoshop

Image
Hello Guys, i just made a video for you guys and those who don't know how to create their own frequency separation Action on photoshop for image retouching,

Jinsi Ya Kutumia Instagram Kwenye Computer Yako Bila kuwa na simu.

Image

ArushaFinest; OMG Feat Baraka The Prince - Uongo Na Umbea (Official Audio)

Image

ArushaFinest: Baghdad & Roma - K (Official Music Audio)

Image

Navy Kenzo - Feel Good (Official Music Video) ft. Wildad

Image

Dj Prince Amewaletea Hii Mix Nyingine, Ni Old Bongo Flava (Vol 1)

Image
Muda Na Nyakati Zinasonga Huku Tukiona Wanamuziki Mbali Mbali Wakizidi Kujitokeza Na Kufanya Muziki Mzuri Wa Kizazi Kipya, Wakati Huo Huo Tunazidi Kuwaona Wanamuziki Wa Muda Mrefu (Wakongwe) Wakirudi Tena Kwenye Industry Ya Muziki Wa Bongo Na Kufanya Vizuri Pia Na Wengineo Kutofanya Vizuri, Lakini Pia Tunaukumbuka Mchango Wao Wa Muziki Wa Tanzania, Ambao Umefanya Njia Iwe Nyepesi Kwa Wanamuziki Wa Kizazi Kipya, Hivyo Mchango Wao Utazidi Kukumbukwa Siku Hadi Siku, Tutazidi Kuwathamini Na Kusikiliza Kazi Zao Kwani Zinatukumbusha Mbali Kwa Wale Wingi Tuliokuwa Tunasikiliza Kazi Zao, Hivyo Basi Kutokana Na Mchango Wao Sio Mbaya Tukizikumbuka Baadhi Ya Nyimbo Zao Zilizotamba Kipindi Hicho, Natumai Utakuwa Na Wakati Mzuri Baada Ya Kusikiliza MIX Hii Kutoka Kwa DJ PRINCE. Kabla Ya Kusikiliza Mix Hii Ni Vyema Tukawaombea Wale Wanamuziki Wote Waliotangulia Mbele Za Haki, Mungu Awarehemu Na Awape Pepo Ya Milele, #Albert Mangwair #Mr Ebbo #Geez Mabovu #Mez B. #sharo Millionea Na Wal...