Posts

Sikiliza Na Download: West Africa Music Mix 2016. Volume 01 (Dj Prince)

Image
Karibu Sikiliza Na Download 'West Africa Music Mix'  By Dj Prince ,

Sikiliza Na Download: New HipHop Mix 2016, (Dj Prince)

Image
Sikiliza Na Download HipHop Mixing Kutoka Kwa "Dj Prince ,   @CrouchPrinceTZ  Songs: 3o Quality: 192 kbps File Size: 87.4 MB Play Time: 64 minutes Download   

New Audio: Ben Pol - Ningefanyaje Remix Ft Vj Adams & G Nako.

Image
Mkali Wa RnB Tanzania BEN POL, Ameachia Remix Ya Wimbo Wake Unaotwa "NINGEFANYAJE, Ambao Amemshirikisha Msanii Kutoka Nigeria 'VJ ADAMS Na  Msanii Wa HipHop Kutoka Katika Kundi La Weusi "G Nako.

New Audio & Video: Sauti Sol Ft Alikiba - Unconditionally Bae

Image
Kwa Muda Mrefu Sasa Imekuwa Ikisubiriwa Kwa Hamu Kubwa Ile Collabo Kubwa  Ya Wasanii Wakubwa East Africa,  Nikiwazungumzia ' SAUTI SOL (Kutoka Kenya) & ALIKIBA (Kutoka Tanzania) Wakali Hao Wa Kenya Wamefanya Wimbo Unayokwenda Kwa Jina La " UNCONDITIONALLY BAE "  Wimbo Huo Wamemshirikisha Msanii ALIKIBA . (Karibu Utazame Video Hiyo Hapa Chini) (Pia Unaweza Kudownload Audio Hapa Chini)

New Video: Yamoto Band - Mama, Ft Zena (Official Video)

Image
Yamoto Band Wameacha Video Yao Nyingine Mpya Inayokwenda Kwa Jina La "Mama, Wakiwa Wamemshirikisha Msanii 'Zena, Video Hii Imeongozwa Na Director 'Pablo. Karibu Uitazame Hapa.

Audio & Video: Eddy Kenzo Ft Patoranking - Royal. (Watch & Download)

Image

New Mixtape: Lc The DreamKid - TangaCation (Closer To The Dream) Listen & Download

Image