Kama Ulishasikia Kuwa Chris Brown Na Tyga Ni Marafiki Sana Tofauti Na Kazi Na Wameamua Kufanya Project Ya Pamoja Ya Kuachia Album Kwa Mashabiki Wao, Basi Hii Ndio Ile Video Yao
Jana tarehe 2 Februari Ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya Mwasiti Almas. Kama zawadi kwa fans wake ametoa wimbo wake mpya uitwao Kisigino chini ya producer Sheddy Clever. Pakua wimbo hapa: