News: Mh Edward Lowassa Kuchukua Fomu Ya Urais Wa Tanzania Leo.


Mh EDWARD NGOYAI LOWASSA, Mgomea Urais wa jamhuri ya muungano wa tanzania, Kwa Tiketi Ya Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo (CHADEMA)
Leo Atachukua Fomu ya kugombea uraisi kwenye Ofisi Za Tume, Msafara Wake Utaanzia
Ofisi Za CUF Buguruni Kuelekea TUME.
Muda Ni Saa Tatu Kamili Za Asubuhi.

Popular Posts