Empire Season 2 Trailer. | Tazama Msimu Wa Pili Wa Tamthilia Ya Empire. itakayotoka Septembe 23.


Kwa Wale Wapenzi Wa Tamthilia Za Kizungu Na Mmekuwa Mkifatilia Tamthilia Ya EMPIRE, Basi Hii Itakuwa Ni Habari Njema Kwenu.
Baada Ya Msimu Wa Kwanza Wa Empire Kumalizika, Sasa Wanakuletea Msimu Wa Pili Wa Tamthilia Hiyo Ambayo Itaanza Kurushwa Katika Vituo Vya TV Septembe 23 Mwaka Huu

Hii Ni Video Fupi Ya Msimu Wa Pili Wa EMPIRE,
Itazame Hapa.

Popular Posts