Download New Music: G Nako Feat Joh Makini - Juma Ikangaa.

Msanii Kutoka Katika Kundi La Weusi, "G Nako, Ameachia Single Yake Nyingine Inayotoka Katika Mixtape Yake Ya "HangOver Ya Hasira" Ambayo Amemshirikisha Msanii Mwenzake "Joh Makini, Nyimbo Hiyo Inakwenda Kwa Jina La "Juma Ikangaa.


Popular Posts