Video Mpya Ya MwanaFa Feat Alikiba - Kiboko Yangu, Ipo Hapa


Tarehe 15\01\15 Ndio Siku Ambayo Ile Video Ya Kiboko Yangu Kutoka Kwa Msanii MwanaFa Akiwa Amemshirikisha Alikiba Ilitarajiwa Kutoka, Na Hivyo Ndivyo Imekuwa Baada Ya Kipindi Cha Muda Mrefu Kwa Mashabiki Wa Muziki Wa Wasanii Hawa Wawili Wakiisubiria Video Hiyo Kwa Hamu Kubwa, Sasa Video Hivyo Imefanikiwa Kutoka, 
 Nyimbo Ilitengenezwa Na Producer Marco Chali, Wa MJ Records Na Video Imetengenezwa Na D.M.P Film Chini Ya Director Kevin Bosco Wa Nchini Kenya.

Karibu Uitazame Video Hiyo Pia Usisahau Kushare Na Rafiki Zako Na Unaweza Kunifollow Twitter kwa kubonyeza ArushaFinest 
Au Uka'like Facebook Page Yetu Ya TheArushaFinest

Popular Posts