Nyimbo Mpya Kutoka Kwa "Madee - Vuvula


Msanii Ambaye Ni Hit Maker Wa Nyimbo Ya Pombe Yangu, Ambaye Pia Ni Msanii Kutoka Katika Kundi La Tip Top Connection,Amekuja Na Ujio Mpya Kabisa Wa Nyimbo Yake Inayoitwa "Vuvula, Nyimbo Hiyo Imetengenezwa Chini Ya Producer "Maporisa Kutoka Katika Kundi La Uhuru Wa SouthAfrica. Karibu Uidownload Hapa.

Popular Posts