Msanii Mkongwe Wa Music Wa Bongo Flava " ALIKIBA Ameachia Nyimbo Yake Mpya Inayokwenda Kawa Jina La ' AJE . Akiwa Amemshirikisha Msanii ' M.I Kutoka Nigeria.
Sikiliza Na Download HipHop Mixing Kutoka Kwa "Dj Prince , @CrouchPrinceTZ Songs: 3o Quality: 192 kbps File Size: 87.4 MB Play Time: 64 minutes Download
Mkali Wa RnB Tanzania BEN POL, Ameachia Remix Ya Wimbo Wake Unaotwa "NINGEFANYAJE, Ambao Amemshirikisha Msanii Kutoka Nigeria 'VJ ADAMS Na Msanii Wa HipHop Kutoka Katika Kundi La Weusi "G Nako.