P Unit ni kundi kutokea (254) Kenya ambalo limeweza kudumu kwa miaka kadhaa sasa time hii wamekuletea hii video mpya ya single yao ‘Weka Weka’ Itazame hapa
Kwa Wale Wanaopenda Nyimbo Za Injili Na Za Kumtukuza Mwenyezi Mungu (Gospel Songs) Sasa Huu Ni Wakati Wako Kupata Nyimbo Mpya Kabisa Kutoka Kwa " jennifer Mgendi, Inayokwenda Kwa Jina La Usiniache Njiani. Iko Hapa
Ni Ujio Mpya Kabisa Wa Msanii Maarufu Sana Hapa Tanzania Anayekwenda Kwa Jina La TUNDA MAN Baada Ya Kimya Kisicho Kirefu Sana Ameamua Kukuletea Burudani Mbili Kwa Wakati Mmoja Wewe Shabiki Yake, Nyimbo Hizo Ni
Hii Ni Nyimbo Mpya Ya Msanii ROMA Au Unaweza Kumuita ROMA MKATOLIKI Kama Wamjuavyo Wengi, Amekuletea Burudani Ya Kitofauti Ya Yakipekee Kabisa Wewe Shabiki Yake, Nyimbo Hiyo Aliyoipa Jina La MWANAKONDOO Amewashirikisha Wasanii Kadhaa Ikiwemo " STAMINA, WALTER CHILAMBO & MAUNDA ZORRO, Unaweza Kuidownload Hapa >>
Mwanamuziki Wa HipHop "JOH MAKINI, Kutoka Katika Kundi La WEUSI Ameachia Wimbo Wake Mpya Unaokwenda Kwa Jina La XO Ambao Amemshirikisha Msanii Mwenzake G NAKO Kutoka Katika Kundi Hilo Hilo La Weusi, Unaweza Kuidownload Kupitia Hapa