Download | Angel Benard - Linda Moyo Wako, (Gospel Song)
Download Nyimbo Mpya Ya Injili {Gospel Song} Kutoka Kwa Msanii ANGEL BENARD Inayoitwa "Linda Moyo Wako,
VERSE 1
Cheko la uso halitoshi, eleza ya moyoni,
tabasamu ni mwamvuli, kuficha yaliyo ndani,
usipomjua, wa siri kumuambia, tulizana
kimya, tabu utajiepushia, usipomjua, wa siri kumuambia,
tulizana kimya, shida utajiepushia,
cheko la uso halitoshi, eleza ya moyoni.
CHORUS
linda sana moyo wako..oh oh
(linda sana moyo wakoooo)*4
VERSE 2
uwe mwepesi kusikia na wala si kusema, mmmhh..,
hata kichaa akikaa kimya huonekana wa maaanaa,oooh
yeah.. kwanza jijue we ni nani,
na unakwenda wapi,
kisha tazama maishani,
umezungukwa na nani,*2,
uwe mwepesi kusikia na wala si kuseeemaaa...
CHORUS
Adlib za chorus ya kwanza:
si kila achekae akupendaaa,si kila achekae akuwazia mema..
Za chorus ya pili:
usipoteze muda kwenye mambo yasiyo maana,
usipoteze muda kwenye vikao visivyo maanaa...uuuh
Pia Unaweza Kusoma Mashahiri (lyrics) Ya Wimbo Huo
Hapo Chini.
LYRICS

Comments
Post a Comment