Nyimbo Mpya Kutoka Kwa Star Wa Music Wa Nigeria " WIZKID Wimbo Huo Unaokwenda Kwa Jina La " OJUELEGBA Ni Wimbo Wake Wa 5 Kutoka Katika Album Yake Ya "AYO Download Hapa
Ikiwa Ni Siku Chache Tangu Mwaka 2015 Kuingia Star Wa Muziki Kutoka Nchini Nigeria "WIZKID Amekuwa Wakwanza Nchini Humo Kwa Kuachia Video Yake Mpya Katika Mwaka Huu Ya Wimbo Unaoenda Kwa Jina La OJUELEGBA, Video Hiyo Imetengenezwa Na Director "Clarence Peters" Itazame Hapa Na Uache Maoni Yako Juu Ya Video Hii.