Posts

Showing posts from January 15, 2015

Video Mpya Ya MwanaFa Feat Alikiba - Kiboko Yangu, Ipo Hapa

Image
Tarehe 15\01\15 Ndio Siku Ambayo Ile Video Ya Kiboko Yangu Kutoka Kwa Msanii MwanaFa Akiwa Amemshirikisha Alikiba Ilitarajiwa Kutoka, Na Hivyo Ndivyo Imekuwa Baada Ya Kipindi Cha Muda Mrefu Kwa Mashabiki Wa Muziki Wa Wasanii Hawa Wawili Wakiisubiria Video Hiyo Kwa Hamu Kubwa, Sasa Video Hivyo Imefanikiwa Kutoka,   Nyimbo Ilitengenezwa Na Producer Marco Chali , Wa MJ Records Na Video Imetengenezwa Na D.M.P Film Chini Ya Director Kevin Bosco Wa Nchini Kenya. Karibu Uitazame Video Hiyo Pia Usisahau Kushare Na Rafiki Zako Na Unaweza Kunifollow Twitter kwa kubonyeza  ArushaFinest   Au Uka'like Facebook Page Yetu Ya TheArushaFinest

Nyimbo Mpya Kutoka Kwa "Madee - Vuvula

Image
Msanii Ambaye Ni Hit Maker Wa Nyimbo Ya Pombe Yangu , Ambaye Pia Ni Msanii Kutoka Katika Kundi La Tip Top Connection ,Amekuja Na Ujio Mpya Kabisa Wa Nyimbo Yake Inayoitwa " Vuvula , Nyimbo Hiyo Imetengenezwa Chini Ya Producer " Maporisa Kutoka Katika Kundi La Uhuru Wa SouthAfrica. Karibu Uidownload Hapa.

Wimbo mpya kutoka kwa 'Kala Pina na Ommy Dimpoz - Good Time

Image
Download Nyimbo Mpya Kutoka Kwa " Kalapina Akiwa Amemshirikisha Msanii Ommy Dimpoz , Na Wimbo Unaitwa " Good Time .

New Music Audio | Gentriez Mwakitabu Feat Ayler - Daima

Image
Rapper Kutoka Arusha " Gentriez Mwakitabu Ameachia Single Yake Mpya Inayoitwa " Daima , Aliyomshirikisha Mwanadada " Ayler,  

New Music Video | Ice Prince - One Day

Image
Rapper Kutoka Nchini Nigeria Inayeitwa " Ice Prince Zamani" , Ameachia Video Yake Mpya Kwa Mwaka 2015, Video Hiyo Inakwenda Kwa Jina La " One Day , Imefanywa Na Director " Moe Musa " Itazame Hapa.